Pdf Free Yesu na wanyama

0.00
Descrição
Madondoo ya brosha : "Hata kama mtu amenunua mnyama, mnyama huyo sio mali yake. Kama vile mwili wa kiroho yaani nafsi ndani ya mwanadamu, ni ya Uzima wa Milele kwa sababu ni Wamilele ndiye aliyeiumba. Kiumbe cha kiroho huishi na Wamilele katika Uzima wa Milele. Mnyama pia naye aliumbwa na Roho wa uumbaji wa milele, na ni wa Uzima uliopo milele na milele: yaani Mungu. Kile kisichyo na mwisho chote ni upendo unaohudumu, Uzima unaohudumu. Mwanadamu pia anaalikwa na Mimi, Kristo, kuwatumikia jirani zake bila ubinafsi. Ni lazima tuelewe pia kwamba maneno «majirani zake» yanahusu pia majirani viumbe vingine vya mazingira, wanyama. Kwani mnyana pia amepewa uwezo wa huduma usio na ubinafsi na anawasaidia kwa moyo mkunjufu watu wanaompenda." 16 pages http://www.editions-gabriele.com/
Condição
Novo
Localização
Kenya
There are no bids.
Carregando ...
Add Comment
Please sign in or sign up to post comments
Search for a city or select popular from the list
The account with the email address already exists on the site. To synchronize with Social Network Login plugin please enter the password to your account on the site.
Leave Review
Tap the Install icon below, and select Add to Home Screen from list.